Uzinduzi wa ujenzi wa barabara za mikoani hasa mikoa ya pembezoni ni jambo linalochochea maendeleo ya taifa. Blogu hii inatoa pongezi kwa uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kyaka mpaka Bugene uliofanyika Bunazi mkoani Kagera na Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Kikwete. Mbali na kuipongeza serikali kwa juhudi hizi pia blogu hii inapenda kuomba barabara zingine zizidi kujengwa.
Picha hii ni kutoka DailyNews Online Edition.
No comments:
Post a Comment