
Hongera kampuni ya simu ya ZANTEL kwa kuwa Mdhamini Mkuu
"Main Sponsor" kwenye kongamano la kimataifa la
jinsia" DUCE 1st International Conference on Gender in Higher
Learning Institutions" lililoandaliwa na Chuo Kikuu Kishiriki cha
Dar es Salaam (DUCE). Madhumuni ya kongamano hili la kimataifa ni kuibua
mambo mbalimbali yahusuyo jinsia kwa mtizamo wa taasisi za elimu ya juu katika
kutetea usawa wa kijinsia na haki za kibinadamu.

Blogu hii inawapongeza sana na kwa hakika ZANTEL ni mfano wa
kuigwa nchini. Aidha huduma za ZANTEL ni nzuri sana na hasa kwa wanafunzi wa
Elimu ya Juu nchini. Blogu hii inatoa wito wa wanafunzi wa Elimu ya Juu na
wananchi wengine kwa jumla kujiunga na ZANTEL.
No comments:
Post a Comment