Friday, July 5, 2013

BUSARA toka kwa Mh. Husna Mbwambo

Nimenukuu
" Serikali ya Tanzania imeonesha uwezo mkubwa wa diplomasia ktk miaka ya karibuni, imeweza kujenga urafiki na jamii na taasisi nyingi za kimataifa hata zile ambazo zinapingana" ....................... "sio kazi ndogo kujenga urafiki na vyama viwili vinavyokinzana, mfano vile vya marekani mpaka kufikia kuwakutanisha BUSH na OBAMA nchini". ..................... "nakumbuka hii ilitokea kipindi cha mwl miaka ya 70 tz ilivyopata baa la njaa. Mwl aliweza kujenga urafiki na mataifa kama marekani na urusi na yote yaliisaidia tz wakati mataifa haya yakiwa mahasimu wakubwa" ~~~ ..............
Mwisho wa kunukuu.

No comments:

Post a Comment