Monday, July 8, 2013

Hongera Ms FATMA KANGE - Mfumo wa GS1 wa traceability na sector ya Asali nchini Tanzania

 
Hongera Ms FATMA KANGE na wenzako kwa jinsi mnavyojitoa katika kumpigania mtanzania. Jana (Julai, 2013) mlikuwa mkielezana na Mh. Waziri Mkuu, habari nzuri za kuleta matokeo makubwa kupitia mfumo wa GS1 wa traceability  na sector ya Asali nchini.  Binafsi kama mdau wa maendeleo tanzania nawapongeza sana na juhudi hizi ziendelezwe ili kumsaidia mtanzania mmoja mmoja na hasa mkulima ili aweze kujikomboa kiuchumi.
 Picha: Ms Fatma Kange 

No comments:

Post a Comment