Ujenzi wa barabara ya Mwenge - Morocco mjini Dar es Salaam sasa umewadia baada ya bomoa bomoa kuanza kwa kasi kupisha upanuzi wa barabara hiyo. Kasi hii ya ujenzi wa barabara inahitaji kuungwa mkono sana maana ni maendeleo kwa watanzania wote. Maendeleo Tanzania yanawezekana!
Picha hii imepigwa jana tarehe 10 mwezi wa 07 mwaka 2013
No comments:
Post a Comment