Blogu hii ni kwa ajili ya kuonyesha, kupongeza na kuhamasisha juhudi ama mambo yoyote ya kimaendeleo yanayofanyika ndani na nje ya Tanzania kwa faida ya watanzania wote.
Saturday, July 13, 2013
Hongera chuo cha Hubert Kairuki Memorial University (HKMU)
Hongera chuo cha Hubert Kairuki Memorial University (HKMU) kwa kujenga Hostel za wanafunzi hapa jijini Dar es Salaam. Ujenzi huo unaelekea kukamilika na sasa uko hatua za mwisho kabisa.Hatua hii ni ya kuungwa mkono na wadau wa maendeleo na elimu nchini Tanzania. Hakika ukosefu wa hostel ni mateso kwa wanafunzi wetu wa elimu ya juu, hasa wa kike nchini.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment