Tuesday, July 9, 2013

Pongezi TEA na Airtel kwa kuboresha elimu Tanzania

Tunapenda kutoa pongezi kwa mamlaka ya elimu (TEA) na kampuni ya simu
ya Airtel kwa kufikiria kutenga milioni 150 kwa ajili ya kununua vitabu vya sayansi kwa shule mia nchini jambo ambalo litaboresha elimu nchini na kuinua kiwango cha ufaulu kwa wanafunzi. Chanzo: ippmedia

No comments:

Post a Comment