Napenda kuchukua fursa hii kumpongeza Rais Jakaya Kikwete kwa wazo hili zuri. Kwa kuwa wazo hili ni zuri kwa wananchi wa Bagamoyo mkoani Pwani ni vyema serikali ikachukua kauli hii ili iwe kama sera kwa ajili ya maendeleo ya watu na taifa kwa ujumla. Mwekezaji wa aina yoyote anapochukuwa ardhi ya wananchi ni vyema pamoja na mambo mengine awafidie wananchi husika kwa kuwajengea nyumba mbali na kulipa pesa.
No comments:
Post a Comment